PICHA: Zamani zamani kidogo katika picha

PICHA: Zamani zamani kidogo katika picha

Angalau asilimia kubwa ya hivo vitu nilivishika au kuviona kasoro mabasi tu maana kule kwetu hapakuwa na hayo mabasi
 
macho-kung-fu-shoes-cotton-2.jpg


Kung-fu shoes
 
Maisha ya longi hayakuwanga na hii mi comlekishoni kama haya ya kwenu. Tuliishi kwa amani kubwa shida yako basi inakuwa ni ya mtaa mzima.....
 
Moja kati ya hizo picha nimejifunza "Trust yourself ONLY "
 
Hiyo nimeivaa darasa la nne 1993, nilikuwa naiaminia sana sasa kuna mtu akaidifine DH et "dada halima" nilirusha ngumi aiseee
Da wengine tulikua tunaviona tu. Mitumba haikuwepo waliokuwa wakipendeza walikuwa wachache wenye ndugu masista na mapadre.
 
hapo kuna kitu moja inaitwa QUININ sijaona picha yake ni miongoni mwa dawa changu wazungu walizotuletea na mkojo wa punga.
nakumbuka hospital moja ilikuwa Hai ikiitwa hospital ya mtoni acha tu.
wazazi wangu mungu awalinde na awape afya telegram
 
Back
Top Bottom