PICHA: Zamani zamani kidogo katika picha

PICHA: Zamani zamani kidogo katika picha

bdcfe8810157483c8e7bc92a10476763.jpg
Dah umenikumbusha mbali sana nimepanda sna basi za Tahfif toka arusha kwenda Tanga
 
Hebu nieleze hicho kiatu ni miaka ipi? wengine tulikulia shamba na boarding. basi. Enzi hizo hata mtoto wa waziri mnaazimana nguo hakuna cha nani wala naniii.
Hiyo nimeivaa darasa la nne 1993, nilikuwa naiaminia sana sasa kuna mtu akaidifine DH et "dada halima" nilirusha ngumi aiseee
 
Spana malaya daah long saana enzi za baiskeli za swala
Enzi hizo za Tanzania za viwanda
 
Hiyo nimeivaa darasa la nne 1993, nilikuwa naiaminia sana sasa kuna mtu akaidifine DH et "dada halima" nilirusha ngumi aiseee
DH Dingi Harosto.

Actually tafsiri hiyo ya DH ilikuja baada ya mitumba kuingia na dh kuonekana ya kiboya.
 
Alie Na picha picha ya viatu flan tuliviita njumu coz chin kulikuwa meno afu pemben vimandikwa 'world cup 94' tupien wakuu
 
Hiyo nimeivaa darasa la nne 1993, nilikuwa naiaminia sana sasa kuna mtu akaidifine DH et "dada halima" nilirusha ngumi aiseee
Kumbe jana tu? Ndiyo maana sikifahamu. Niulize Raizoni, kata mbuga Arusha tu Moshi na pekosi hapo tutaelewana.
 
Uwe umetumia hizi mambo afu bado hujaoa au hujaolewa. Uwiiiii
 
Back
Top Bottom