Picha za Wema akiwa na bwana ake zavuja

Am not a fan of any one
Kwangu mimi I can not buy this shit..msimuonee it's pure photo shop
 
Picha za aibu za Kada wa chadema mwanadada Wema Sepetu zimevuja mitandaoni.
Picha hizo zinamuonesha wema akibusiana huku akiwa amevaa khanga moja na mwanaume mmoja raia wa Kenya ambaye ndi Bwana wake .Mwanaume huyo huko kwao Kenya ana Skendo ya kuuza Madawa ya kulevya na alishawahi kushatiwa mahakamani.
 
Anatangaza umalaya wake tu sio kwamba zimevuja.

Zinaanzaje kuvuja? Alipiga zanini? Hivi uko faragha na mtu wako unaanza kupiga picha ili iweje?
 
Madame katika ubora wake! Kweli huyu mtoto wa kinyaturu kashindikana. Nikikumbuka ile skendo ya baby fly to Kia huwa nacheka sana
 
Ndo mi huwa najiuliza na kusema kuna wanaume wengine wanapaswa kupimwa mkojo! Why Wema? Kama ni uzuri mbona wapo warembo wengi ambao hata Wema hafikii nusu yao. Na bado wanaweza kupatikana kwa gharama ndogo na siyo hizo wanakwenda kumrundikia Wema! Wanaume hapa tukubali tuna matatizo.

Madame anaonekana ni mtam sana hasa ule mdomo wake ulivyokaa pamoja na sauti ya kudeka huwa ananimaliza kabisa. Ngoja na mm nizisake nifaidi kabla hajazeeka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom