Picha za Warembo Wetu Wa Zamani - Wako Wapi Na Wanafanya Nini?

5682d1251010461-warembo-wetu-wa-zamani-wako-wapi-na-wanafanya-nini-ws1.jpg


5683d1251010461-warembo-wetu-wa-zamani-wako-wapi-na-wanafanya-nini-ws2.jpg


5684d1251010461-warembo-wetu-wa-zamani-wako-wapi-na-wanafanya-nini-ws3.jpg
huyo wa kati looks more like TK
 
Superman,

Ahsante Mkuu! Sema tungefurahi ukaweka pia maelezo ya hawa warembo!

Shukran!

Mkuu;

Kwa uhakika binafsi sifahamu wengi wako wapi na wanafanya nini. Kama kuna anyejua basi atuhabarishe.

Sina uhakika kama unachotaka ni maelezo ya picha au la. Kwa matarajio yangu ni kuwa "Pictures Speaks Louder Than Words". Hata hivyo kama kuna maelezo au comments zinakaribishwa.
 
HOYCE-TEMU-%2526-HUSBAND.jpg


Duuh! Hapa naona demu iko na Liyumba wakati bado akipeta BoT!!
sio liyumba huyo? huyu demu alipata sugar daddy moja la kizambia wakafunga nae ndoa.....ndio huyo.....nasikia ndoa imeota pembe.....siku hizi wanasaka wazungu
 
Basila Mwanukuzi was in Addis Ababa, Ethiopia working for the A.U. when I was there. Sijui kama bado yupo huko.

MwanaFA;

When was that?

Kuna mahali niliwahi kusoma au kusikia kuwa yuko Multchoice. About 2 years back.
 
Actually went to primary school together. She used to be a very bright student and very well behaved up until the fifth grade. What happened after that anajua mwenyewe.

Hivi Mkuu unaweza kuwa na uelewa wowote ni kitu gani kimesababisha akawa "Not to be well behaved after Fifth Grade"?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom