Picha za Wanataarabu wa 5 Stars waliokufa Morogoro!

Hakika kila nafsi itaonja umauti, wao wametangulia na tutawafuata. Jina la bwana libarikiwe!
 
this shows binadamu c kitu.
jamani tuacheni maasi na tumuabudu mungu,,
bin adamu hatujijui muda wowote safari
 
....aisee inasikitisha mno, ehhhhh Mungu baba uwarehemu hawa watu huko walipo.
 
kweli bwana katoa kisha katwaa jina lake liidimiwe milele amina kilicho baki kwetu ni sisi kujihoji je muda utakapofika kwenda mbele za haki tutakuwa tumejiandaaje kwa sababu wenzetu kila mmoja atakwenda mbele za haki kwa nafasi yake je sisi tulio hai tunajifunza nini tutakapo kutwa na mauti? Basi ni vyema tukajiandaa
 
2ko Duniani kupita. 2namuomba Mungu muumba wa mbingu na nchi azilaze roho za marehemu pema peponi .Ameeeni.
 
Hii inasikitisha mno , inaumiza sana!
Nashindwa kuvumilia kububujikwa na machozi. Hizi picha zimezidisha simanzi maana zinaonyesha mengi sana:
1.Ajali za barabarani zitatumaliza jamani.
2. Umaskini uliokithiri nchini mwetu - yaani tumeshindwa hata kuwasitiri hawa marehemu japo hata kuwafunika vizuri! Hapo wamesitiriwa na vitambaa vya mabango yao wenyewe tu. Halafu wamewekwa chini - thamani ya binadamu hapo hakuna kabisa.Kama mzazi nimeumia sana!

MUNGU WA REHEMA NA NEEMA ZISIZO NA MWISHO, UWAJAALIE PUMZIKO LA MILELE.

DUNIANI TUNAPITA TU......

Mliotangulia, pumzikeni kwa amani, ole wetu siye tuliobakia!
 
eeeeh Mungu uwarehemu waja wako hawa!!!madreva mnatumaliza jameni!
RIP RIP
RIP RIP
RIP RIP
RIP RIP
RIP RIP

attachment.php


RIP RIP
RIP RIP
RIP RIP
RIP RIP
RIP RIP

attachment.php


RIP RIP
RIP RIP
RIP RIP
RIP RIP
RIP RIP
 
Pamoja na kuvaa T-shirt yenye maneno mabaya, Mungu amsamehe. R.I.P wapendwa

attachment.php
 
Back
Top Bottom