Picha za UKWELI: Maadhimisho ya kuzaliwa CCM huko Mbeya

Picha za UKWELI: Maadhimisho ya kuzaliwa CCM huko Mbeya

Yaani hayo ndio maadhimisho ya kitaifa? Mbona idadi ya watu haifikii ile ya mikutano ya Chadema kwenye kata? Hizi ni dalili mbaya sana za "kifo" cha chama. Maana pamoja na wasanii,ngoma na misosi hali imekuwa hivyo?
 
Kumbuka apo kila kijiji walipewa costa moja mbeya nzima
Yaani hayo ndio maadhimisho ya kitaifa? Mbona idadi ya watu haifikii ile ya mikutano ya Chadema kwenye kata? Hizi ni dalili mbaya sana za "kifo" cha chama. Maana pamoja na wasanii,ngoma na misosi hali imekuwa hivyo?
 
Waliyo wengi si wakazi wa jiji hapa. Wamebebwa toka mbali huko kwa malori na coasta. Amini hivyo kwa sugu hapa ccm haitii pua hapa.

ImageUploadedByJamiiForums1391361266.664279.jpg

Kama kawaida yao. Kweli Punda unaweza kumlazimisha kubeba mzigo lakini sio kunywa maji.
 
90% ya audience ilikuwa imetoka nje ya jiji la mbeya,watu wa jiji la mbeya walikuwa busy na kuangalia/kusikiliza MPIRA WA TIMU YAO PENDWA

Sawa ila jaribu kidogo kudanganya karibu na ukweli. CCM sherehe wamefanya asubuhi mpaka kama saa 7. Mpira wa Yanga na Mbeya city ulianza saa 10:30 jioni. Connect dots.
 
Mm huwa nackia mbeya hakuna ccm. Hawa ni waliopata muda je wale waliobaki majumbani. Si rahisi kama watu mfikiriavyo et ccm kwisha....
Hao ni CCM Tanzania nzima (yote kabisa), sio Mbeya pekee. Ukizangatia watumishi wote wa umma waliagizwa kuhudhuria kwa hiyo don't read beyond the reality.
 
Yaani hayo ndio maadhimisho ya kitaifa? Mbona idadi ya watu haifikii ile ya mikutano ya Chadema kwenye kata? Hizi ni dalili mbaya sana za "kifo" cha chama. Maana pamoja na wasanii,ngoma na misosi hali imekuwa hivyo?

Mbeya mjini upinzania ulichukua jimbo hilo toka mwaka 1995 enzi za NCCR mageuzi ilipokuwa na nguvu. Kwahiyo ukiona watu wanajitokeza kuishabikia CCM lazima tushangae.
 
Hao wengi wao ni watumishi wa serikali. Ndiyo maana wameogopa kuadhimisha tarehe 05 Febr. Ambayo ingekuwa siku ya kazi na wasingepata watu.
 
kwani mmesahau kama mkurugenzi kawalazimisha wafanyakazi wote waende kwenye hayo matembezi na kusaini kitabu cha mahudhurio? kwanza ukisaini hapo hapo unapewa mshiko, kwa nn nisiende wakati najua kabisa moyoni kwangu kuna cdm
 
Kwani hamkujua kwanini SAVIMBI kawekwa kwenye fedha.
 
Back
Top Bottom