Picha za UKWELI: Maadhimisho ya kuzaliwa CCM huko Mbeya

Picha za UKWELI: Maadhimisho ya kuzaliwa CCM huko Mbeya

Tukubali tu kuwa ccm mbeya ipo imara bado watu kati ya waliopokea kadi leo wengine ni vijana wa mwanjelwa kabisaa. Mfano kuna kijana anaitwa Aden na mwingine anaitwa yusuf hawa ni wafanya biashara pale mwanjelwa. Mi nipo mby tusijipe matumaini tuangalie ni namna gani ya kupambana.
 
Duuu ccm mbeya ipo imara bwana. Kama ni picha za ukweli lazima sugu akae vizuri vinginevyo hawa jamaa wanaweza kuchukua jimbo.
Hapo mafuso ya akina Mwakitwange yamesomba watu toka Ubaruku,Ihefu,Kyela,Tukuyu,Chunya..mkutano umetumia milioni 357.5.
 
Kama bongo muvie wametolewa dar watashindwaje kuwabeba watu toka mwanza??

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
HAWA wote wamegawiwa nguo za CCM meaning wameandaliwa. Hakuna aliyeenda huko kwa Upendo wake

Ni kweli mkuu! The fact kwamba kila mtu pale yuko ma sare rasmi maana yake waliandaliwa siku moja au mbili kabla ya leo.
 
Back
Top Bottom