Picha za UKWELI: Maadhimisho ya kuzaliwa CCM huko Mbeya

Picha za UKWELI: Maadhimisho ya kuzaliwa CCM huko Mbeya

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,622
Reaction score
3,696
CCM6.JPG
CCM5.JPG
CCM1.JPG
CCM2.JPG
CCM3.JPG
CCM4.JPG
Hawa jamaa nilihisi hawatapata mtu hata mmoja eeh kumbe bado hai
PICHA kwa hisani ya:Mbeya Yetu: MATEMBEZI YA MSHIKAMANO YA MIAKA 37 YA CCM YAFANA MBEYA
 
Mm huwa nackia mbeya hakuna ccm. Hawa ni waliopata muda je wale waliobaki majumbani. Si rahisi kama watu mfikiriavyo et ccm kwisha....
 
chezea pesa, zitto na ujanja wake alinasa...
 
Duuu ccm mbeya ipo imara bwana. Kama ni picha za ukweli lazima sugu akae vizuri vinginevyo hawa jamaa wanaweza kuchukua jimbo.
 
Wengine wametoka nao dar,na wengine wamesombwa kwa magari kwa ahadi za posho ya 2000. pooooleeeee
 
90% ya audience ilikuwa imetoka nje ya jiji la mbeya,watu wa jiji la mbeya walikuwa busy na kuangalia/kusikiliza MPIRA WA TIMU YAO PENDWA
 
huwezi amini amin hapo kuna rais, hapo kuna walionunuliwa, kuna wanachama, hapo kuna wafanyakazi wa uma waliolazimishwa kwenda wakiwa na tracksuit na lazima wasainishwe..
 
hiyo nyomi Lema na mawazo wanaweza ipata jimboni kwa Zito tuu
 
Waliyo wengi si wakazi wa jiji hapa. Wamebebwa toka mbali huko kwa malori na coasta. Amini hivyo kwa sugu hapa ccm haitii pua hapa.
 
HAWA wote wamegawiwa nguo za CCM meaning wameandaliwa. Hakuna aliyeenda huko kwa Upendo wake
 
Washukuruni ndugu zangu wa kyela angalau mmepata watu leo, apa twn ccm maututi
 
Back
Top Bottom