Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,597
Mwenye nguvu muite pawa
hahahah... hii hatari sasa..
Mwenye nguvu muite pawa
Hivi obama anaruhusiwa kupiga miti akiwa kwenye ndege ya rais?
Cyber crime Bill ishakuwa sheria endeleeni
nimekutamani gafla
mambo vipi?
Umemzimikia mtoto mashallah mashallah!!!!!!
Ila kuwa makini kuna picha kwa ajili ya mitandaoni na kuna picha halisi....Km unapenda boga na ua lake basi endelea
nishajitoa mhanga kwa ajili yake nasubiri tu aseme neno nami nitatekeleza
wakuu kwa anaefahamu kiundani sifa za ndege ya rais wa marekani (air force one),hii ndege imeonekana kuwa very spesho katika dunia yetu.karibuni
Inakuja huko kwenu utaiona tuu!
Hivi obama anaruhusiwa kupiga miti akiwa kwenye ndege ya rais?