Picha za ndani ya ndege,Bush,Obama,Clinton etc wakielekea south africa kwenye mazishi

Do! Wale wa mbezi zote, yaani mbezi ya kimara na mbezi ya beach wanajiuliza nyumbani watafika saa ngapi make foleni zinatisha, walio wengi wanaenda nyumbani kupiga mswaki na kubadili nguo afu warudi ofisini.

Walio wengi Dar kuondoka ofisin saa 11 kufika nyumbani saa sita usiku, kurudi kesho yake kazini kuamka saa 10. Alfajiri. Ndo maana walio wengi wanasisitiza mpango wa uzazi, hakuna muda wa kutoa madozi kwa wenza wao! Obama endelea kutanua make hapa Tanzania CCM ilisha tuondolea matanuzi hayo
 
Behind-the-scenes photos from Air Force One show the Obamas mingling with the Bushes and Hillary on journey to South Africa for Mandela's memorial


1461853_bush_jpga67b5d185d5878455939f60e75968d81

Mbona hawana Vitambi??? ni observation tuu....
 
Mbona Obama amebadili nguo za juu Mara tatu.Na je Slaa akiwa raisi Kikwete atasafiri nae ndege moja?
 
Back
Top Bottom