Picha za ndani ya ndege,Bush,Obama,Clinton etc wakielekea south africa kwenye mazishi

Aiss hiyo kweli ni white house kwenye ndege!!yaani inaweza kuendelea kuruka indefinitely!!
 
Hivi obama anaruhusiwa kupiga miti akiwa kwenye ndege ya rais?
 
avatar190192_1.gif
nimekutamani gafla
mambo vipi?
 
avatar190192_1.gif
nimekutamani gafla
mambo vipi?

Umemzimikia mtoto mashallah mashallah!!!!!!
Ila kuwa makini kuna picha kwa ajili ya mitandaoni na kuna picha halisi....Km unapenda boga na ua lake basi endelea
 
Umemzimikia mtoto mashallah mashallah!!!!!!
Ila kuwa makini kuna picha kwa ajili ya mitandaoni na kuna picha halisi....Km unapenda boga na ua lake basi endelea

nishajitoa mhanga kwa ajili yake nasubiri tu aseme neno nami nitatekeleza
 
nishajitoa mhanga kwa ajili yake nasubiri tu aseme neno nami nitatekeleza

Endelea kusubiri. Ila usipopata jibu basi ujue ule msemo wa waswahili umetimia "KUPENDA USIPOPENDWA NI SAWA NA KUSUBIRI MERI AIRPORT"
 
Wakuu kwa anayefahamu kiundani sifa za ndege ya rais wa Marekani (Air Force One).

Hii ndege imeonekana kuwa very spesho katika dunia yetu.

Karibuni
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom