Ndege 4 za Urusi zadunguliwa ndani ya Mipaka yake

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,560
12,686
The Russian Air Force appears to have had one of its worst days of the war in more than a year on Saturday. While details remain limited and are likely to change, it appears Russia lost two Mi-8 “Hip” helicopters, a Su-34 “Fullback”strike bomber, and a Su-35 “Flanker-E,” with no survivors.

What makes all this especially troubling for the Russian Air Force, is that all these losses happened in its own country, in areas not too far from the border with Ukraine.

All four aircraft came down in Bryansk Oblast, well within Russian territory opposite northeast Ukraine’s Chernihiv Oblast. Video shows one of the Mi-8s breaking up after what looks as if a missile hits it near the town of Klintsy, about 50 kilometers north of the Ukrainian border

The Warzone
 
Inawezekana hii ni kazi ya Warusi wenyewe, wale wapiganaji wa ndani ya Urusi wanaopinga vita ya Putin
 
The Russian Air Force appears to have had one of its worst days of the war in more than a year on Saturday. While details remain limited and are likely to change, it appears Russia lost two Mi-8 “Hip” helicopters, a Su-34 “Fullback”strike bomber, and a Su-35 “Flanker-E,” with no survivors.

What makes all this especially troubling for the Russian Air Force, is that all these losses happened in its own country, in areas not too far from the border with Ukraine.

All four aircraft came down in Bryansk Oblast, well within Russian territory opposite northeast Ukraine’s Chernihiv Oblast. Video shows one of the Mi-8s breaking up after what looks as if a missile hits it near the town of Klintsy, about 50 kilometers north of the Ukrainian border

The Warzone
Kazi ime anza safari hii Mrusi kazi anayo Magharibi anataka kumuonyesha yeye ni mtoto haiwezi mchezo anamtumia mchina msg Kali asijaribu kuigusa Taiwan maana kitakacho mpata ni zaidi kilicho mpata Mrusi. Urusi viongozi watajinyonga take my word why watajinyonga option yakutumia nuclear italeta maafa makubwa kwa Taifa lao na uwenda pasiwe na Taifa kama Hilo tena. Pili option yakuikalia mini wame ichukua ni ndogo sana maana this time wanaenda furushwa miji yote na watakufa sana. Kiuhalisia Mrusi anapata tabu sana ktk hii vita.
 
Vaa Viatu vya Rais Putin! Then niambie kulingana na uhusiano walionao Urusi na Marekan! Marekani hataki kuona Urusi ikiwa na ushawishi Duniani, Marekani anafanya kila namna aigawe taifa la Urusi mle ndani zitoke independence state zaidi ya 30! Kama Rais wa Urusi ungefanya nini?

Au ni Rais gani anaweza kuona taifa lake linafanyiwa kila namna liangushwe akae kimya?

Unajua mgogo wa "The Cuban Missile Crisis" Ulitokana na nini? Kwanini Marekani alikuwa tayari kuivamia Cuba kijeshi? Alikuwa sawa? Kwanini CIA ilifanya majaribio zaidi ya 50 ya kumuua Fidel Castro?

Nasuburi maoni yako.
 
Kama Putin anaona US inataka kumpasua na haoni namna nzuri ya kukabiliana na hilo. Ni bora uachie ngazi, waje wengine wenye akili na uwezo zaidi yako, kwanini unataka ushikilie madaraka mpaka ufe?
 
Issue sio Putin! Issue ni Russia na itikadi yao ya usholist! Kwiayo ata Putin atoke madalakani leo bado itikadi yake itachukiwa na nchi za kimagharibi
 
Putin ndiye anayeendeleza huo uduanzi WA usoshalisti fake.Wanajiita wasoshalisti wakati wanatengeneza mabilionea a.k.a sera za kibepari/capitalism!
 
Sasa kama Putin anaendeleza katika Taifa lake wewe wa mkunazini huko ambae sera zao hazikugusi utafuta nini kwao?
 
Vaa Viatu vya Rais Putin! Then niambie kulingana na uhusiano walionao Urusi na Marekan! Marekani hataki kuona Urusi ikiwa na ushawishi Duniani, Marekani anafanya kila namna aigawe taifa la Urusi mle ndani zitoke independence state zaidi ya 30! Kama Rais wa Urusi ungefanya nini?

Au ni Rais gani anaweza kuona taifa lake linafanyiwa kila namna liangushwe akae kimya?

Unajua mgogo wa "The Cuban Missile Crisis" Ulitokana na nini? Kwanini Marekani alikuwa tayari kuivamia Cuba kijeshi? Alikuwa sawa? Kwanini CIA ilifanya majaribio zaidi ya 50 ya kumuua Fidel Castro?

Nasuburi maoni yako.
Hebu tupate ushahidi wa hii ya US kutaka kuigawa Urusi ili kuwe na states 30.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Putin ndiye anayeendeleza huo uduanzi WA usoshalisti fake.Wanajiita wasoshalisti wakati wanatengeneza mabilionea a.k.a sera za kibepari/capitalism!
Sasa kama Putin anaendeleza katika Taifa lake wewe wa mkunazini huko ambae sera zao hazikugusi utafuta nini kwao
Kama Putin anaona US inataka kumpasua na haoni namna nzuri ya kukabiliana na hilo. Ni bora uachie ngazi, waje wengine wenye akili na uwezo zaidi yako, kwanini unataka ushikilie madaraka mpaka ufe?
Sasa alimuweka Putin madarakan ni Mmarekani? Si Warusia wenyewe! Wewe mmarekan inakuhusu nini? Haya ndiyo yale ta kwenda Libya watu wakiishi vizur mkaenda kuwaaribia maisha yao
 
Hebu tupate ushahidi wa hii ya US kutaka kuigawa Urusi ili kuwe na states 30.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Rejea USSR
Rejea Chechen War 1990
Screenshot_2023-05-14-09-38-22-81_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Back
Top Bottom