Picha za ndani ya ndege,Bush,Obama,Clinton etc wakielekea south africa kwenye mazishi


K

kiparah

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2010
Messages
1,176
Likes
46
Points
0
K

kiparah

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2010
1,176 46 0
Wacha wastarehe, hilo dege huwezi hata kusikia mawimbi wakati upo angani ni full kujiachia. Sio hizi ndege zetu za SA ni full kunesa.
 
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
9,024
Likes
7,078
Points
280
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
9,024 7,078 280
angalieni mheshimiwa wetu asione hii thread,wallah mtakula nyasi tena,na anavyopendaga kuelea.
 
awp

awp

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Messages
1,714
Likes
10
Points
135
awp

awp

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2012
1,714 10 135
mm aliyepata siye mwenzio, anyway asante kwa kutujuza
 
J

JIWEGANGI

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Messages
949
Likes
140
Points
60
J

JIWEGANGI

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2013
949 140 60
inapendeza kwa kweli!as if wapo kibarazani wanapiga stori!
 
h120

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Messages
2,072
Likes
1,795
Points
280
h120

h120

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2012
2,072 1,795 280
Hilo ndege mbona halitembei lipo palepale.
 
Lukansola

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Messages
5,456
Likes
86
Points
145
Lukansola

Lukansola

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2010
5,456 86 145
Kama Laptop kiswahili chake ni kompyuta mpakato, Air Force One ni nini? Kwa wataalamu wa kiswahili tu.
 
M

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Messages
3,372
Likes
1,681
Points
280
M

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2013
3,372 1,681 280
wanaoishi duniani ndo hao sie wengine ni wasindikizaji tu
 

Forum statistics

Threads 1,273,260
Members 490,343
Posts 30,475,692