Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,385
- 68,490
Wivu gani mkuu? Nitaletaje wivu kwa watu wasionijua hata kidogo? mimi nimeongea vile nilivyowaza.Ni wivu ulio nao ama?
Wivu gani mkuu? Nitaletaje wivu kwa watu wasionijua hata kidogo? mimi nimeongea vile nilivyowaza.Ni wivu ulio nao ama?
Unafanana kwani vp ulikuwa haujui ???Umri wa Diamond na Zari unafanana??
K lyn bana daah binti mrembo anatuacha sisi vijana wenzake anaenda kwa babu mengi hata kusimamia show hawezi.so sad!7
teh teh teh teh watu mna roho za kwanini kweli...K lyn bana daah binti mrembo anatuacha sisi vijana wenzake anaenda kwa babu mengi hata kusimamia show hawezi.so sad!7
K lyn bana daah binti mrembo anatuacha sisi vijana wenzake anaenda kwa babu mengi hata kusimamia show hawezi.so sad!7
Kama huna pesa hata mbwa wako atakung'ata, jifunze kutafuta pesa kutoka kwake, sio ujifunze jinsi anavyotumiaMzee Mengi akila bata dadadeki!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hata demu wako/mke wako anatamaniNina Imani hata wake za watu wana wish wangekuwa kyln!
Kwavile wakwako alishakwambia, nilijua tuu jiwe limeshwa gizani tayari kuna mtu kesha sema......mamaaaa,tena wewe inaonyesha alikutamkia live,kazana dogo jitutumue hata na handkerchief kwa mkeo, vibabu viko haviishi tutakupokea,hushtuki unaacha buku mbili ukirudi unakula mpaka na matunda?Hata demu wako/mke wako anatamani
Twins hata mbuzi anatoa,kuna tofauti kati ya kumpa mtu ujauzito na kumpa mtu burudani ya roho,mapenzi ujuzi na sio pesa! teh teh teh teh!Angekua hawezi angempa twins?
Wivu mbaya sana.
No comment!teh teh teh teh watu mna roho za kwanini kweli...
Diamond kaacha vibinti viteke vya kibongo kaenda kuokota limama lililomzidi umri tena kazalishwa mara tatu ila humu Team Diamond mnamtetea kwamba ni mapenzi... Sasa Jack kaamua kutuliza stress na mzee yeye mnamponda...
pesa ya kula bata na watoto watamu kama wakina Evelyn Salt ,Diva Beyonce mbona haisumbui, teh teh teh.....Tafuta pesa na wewe utapata yoyote unayemtaka, au endelea tuu kula mazombi apo kitaa kwenu bila mshiko
Sasa nimeelewa kwanini umemind Mengi kumuoa K-Lyn. Mzee mcha Mungu huyo hawatumii mapungaAcha ushoga wewe!
Mzee Mengi akila bata dadadeki!
![]()
Kuna kazi mombasa, nikupe namba ha huko mbavu?Unashangaa h/boy nikipata kz ya house/boy kwa mengi naenda,watu tumesoma lkn ajira hakuna unategemea nn