Picha za Mzee Mengi na Jacquiline Ntuyabaliwe

Picha za Mzee Mengi na Jacquiline Ntuyabaliwe

Umuhimu wa kuwa na pesa na sio six packs now tumepata jibu
hahaha six pack hazilishi familia mkuu. Ila ah! wanawake demands zao ni UNDEFINED!. Sometimes they need what they dont know! sometimes they demand what they dont need and need what they dont demand.yaani tafraan shaghalabaghala! ukiwa mrefu wataka six pack, ukiwa na six pack watataka uwe na hela ,ukiwa na hela halafu mfupi watasema mume mzuri ni mrefu, ukiwa kimbaumbau watataka mwenye nyama kidogo ,ukiwa na nyamanyama watasema nooo hawataki vitambi wanataka slim...taabu tupu
 
jack anajielewa sana, hii nafasi angeipata mama ubaya
 
Hapo utaambiwa mapenzi hayachagui umri kumbe ni ukweli usiopingika kuwa inaongea.
 
Mzee Mengi akila bata dadadeki!


MZEE%2BMENGI.PNG


j-ntuyabaliwe.png


JAC.....jpg


mengi.jpg


PhotoGrid_1429014173838.jpg
Ha ha ha yaani kama baba na mwanae vile
 
Endelea kuwaza hivyo hivyo na mwisho wa siku udai na DNA
Sina shida ya DNA kwani ndio maisha aliyo chagua. Lakin ukweli utabakia pale pale. Wala hata simuonei wivu kwani alipambana kwenye kusaka noti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom