Umuhimu wa kuwa na pesa na sio six packs now tumepata jibu
ukiwa navyo vyote?
Umuhimu wa kuwa na pesa na sio six packs now tumepata jibu
uwe navvyo vyoote for one girl?ukiwa navyo vyote?
sijakupata boss ila nlimaanisha unaweza ukawa na pesa na pia physical fit body with six packsuwe navvyo vyoote for one girl?
Na mimi nauliza uwe navyo vyoote ili uweje?sijakupata boss ila nlimaanisha unaweza ukawa na pesa na pia physical fit body with six packs
Ni duniani kote ndugu, sio bongo tu.Hawa wanawake Wa bongo ukiwaekea hemedy PhD na mengi watasema mengi ni handsome
Acha mambo ya watu si uandike ya wajomba zako huko hedaru[emoji4] [emoji12]Mzee Mengi akila bata dadadeki!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Twins hata mbuzi anatoa,kuna tofauti kati ya kumpa mtu ujauzito na kumpa mtu burudani ya roho,mapenzi ujuzi na sio pesa! teh teh teh teh!
Bado kijana tu na Mengi ni babu"[/QUOTE
Mwanamme hazeeki
HahahahahahahVijana tutafuteni pesa jamani uzee una shombo mbaya kama huna kitu mbaya zaidi kama huna pesa hata ukiongea points watu watesema pumba.
Usicheke ndugu yangu yaani jaribu kupiga picha mshua kachoka kama hamna ustaarabu mnampotezea tu tena akitoa ushauri ndo kabsaa mnamuuliza mbona yeye hakufanya haya anayo shauri?Hahahahahahah
Umesoma lakini haujaelimika kwa mawazo haya na ndio haupati kaziUnashangaa h/boy nikipata kz ya house/boy kwa mengi naenda,watu tumesoma lkn ajira hakuna unategemea nn
h ahaha pesa ina macho wacha kabisa.. angeingiakwangu huyu mzee angedata sababu ningeenda unyagoni tanga nikafundweHaha... Huyu muha aliijua lini pesa?? Angekua miss chagga wala nsingeshangaa.
Huyu mzee si anatoa upepo tu..!!
Wangetulia tu, pesa dawa.Kwahiyo ana miaka 37... Sasa sioni shida hapo..
And she is classy na mwanamke anayejitambua.. Angekuwa ameoa hizi takataka kama Sepetu au Jokate hapo ningekuwa na shida..
Dah!! kumbe mtani wangu wewe!!! Nahenekuna msemo wa kisukuma unasema 'ukubwani' watu wote hulinga...'khobhotale kowisangelo'