picha za mwenge zinaongea kuliko maneno

Mie najiuliza Nchimbi alikua hapo kama nani?Maana pia ndiye amesaini yale makubaliano na CDM.

Ukiachia Uwaziri alio nao vilevile Nchimbi ni mpambe na mshikaji wa Jk halafu ndo kichwa anacho kiamin, si unajua juzijuzi ndo kaongezea cheo kwenye jina lake? sasa hivi anaitwa Dr. Nchimbi. hahaaaaahahaaa..!! Mia
 
Mhhhhhh!!!! hivi Nyerere hakuwaga freemason kweli ? coz dah!! hii mambo ya mwenge sijui kaikurupua wapi jamaa maana sioni faida yake kwa taifa zaidi ya kuwa kamradi cha watu wachache .
 
Huo Mwenge na mbio zake ni Upuuzi Mtupu! Mambo ya mwaka 61 leo hii ya nini? Lazima twende na wakati.,
 
Mbona kuu wa kaya anapete mbili za ndoa?:shock:
m7.jpg
 
siku nikimpata raisi ambaye akikaa madarakani tu anapiga chini hizi habari za kukimbiza mwenge wa uhuru tanzania nzima, tunatumia bilions of Tshs. kwa kitu ambacho hakituingizii chochote, nitamfurahia sana huyo raisi,

Ifike mahali tusiwe tunafanya vitu kwa kuwa vilikuwa vinafanywa hapo nyuma, vitu hubadilika, mwenge mwenge, hapo waliojaa uwanjani wote wamelipwa na hizo sare wamenunuliwa, unajua sh. ngapi imelala hapo? halafu tunalia masikini masikini, i hate kikwete kweli kweli toka rohoni jamani
 
Back
Top Bottom