Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

picha za mwenge zinaongea kuliko maneno

Discussion in 'Jamii Photos' started by figganigga, Dec 1, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 13,597
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  [h=3]Rais Jakaya Kikwete Akabidhi Mwenge Wa Uhuru Jeshi La Wananchi Wa Tanzania ili Upandishwe Kwenye Kilele Cha Mlima Kilimanjaro[/h]

  [​IMG]
  Viongozi wa wataopandisha mwenge wa Uhuru mlima kilimanjaro
  [​IMG]
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete baada ya kuuopokea mwenge wa uhuru
  [​IMG]
  Rais Kikwete akipokea mwenge wa uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio hizo mwaka huu
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi mwenge wa uhuru mkuu wa majeshi Jenerali Davies Mwamunyange ambaye atawakabidhi wapandishaji mlima kilimanjaro
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete akiwatakia heri Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Jenerali Davies Mwamunyange na wanajeshi wataopandisha kilele cha mlima Kilimanjaro Mwenge wa Uhuru mkesha wa siku ya uhuru. Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi , wa pili kulia ni Naibu waziri katika wizara hiyo Dkt Fenella Mukangara na wa kwanza kushoto ni mmoja wa wataopandisha Mwenge mlima Kilimanjaro.Mia
   
 2. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 580
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kikwete hajui sheria za mwenge wa uhuru?

  Inatakiwa mkono wa kulia unakuwa juu mara zote wakati wa kuubeba na hao wakimbizaji wa kitaifa waliogopa kumwambia nini
   
 3. N

  Ndole JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huwa sijui pete aliyovaa kikwete kidole cha mkono wa kulia ina maana gani.
   
 4. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 923
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mie najiuliza Nchimbi alikua hapo kama nani?Maana pia ndiye amesaini yale makubaliano na CDM.
   
 5. Companero

  Companero Platinum Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,400
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  si unaona mwamunyange anavyocheki mkono wake hapo kwa mashaka
   
 6. Companero

  Companero Platinum Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,400
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  kwani na yeye sio rais mtarajiwa?
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 27,986
  Likes Received: 6,856
  Trophy Points: 280
  Mbona sioni mwenge? Ninachi kiona ni kibatari a.k.a kikoroboi kireeeeefu
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Hayo mapete na mienge yote uchuro mtupu, maana yote himaya yake inatawaliwa na mungu mmoja!
   
 9. B

  Binti Sayuni JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 351
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa picha hizi zinaongea kuliko maneno!
   
 10. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ya ngoswe...
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,239
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  jk bwana..sasa na maupepo yote yale mlima kilimanjaro hili dubwana la nini..na nani ataona huo mwenye ukiwa kileleni..yaaani
   
 12. Companero

  Companero Platinum Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,400
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  au ni mashoto?
   
 13. M

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Hivi sisi watz tutafaidika na lipi huo mwenge ukiwaka kileleni Kilimanjaro? Naomba kuwauliza wanajf ambao wanajua hivi wherelse in this world kuna jambo/tukio lolote lina bear any comparisons to Mwenge wa watz?. Ni hayo tu.
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,751
  Likes Received: 3,102
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 16,667
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Upotevu wa raslimali za taifa.
   
 16. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #16
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 580
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huwa haijalishi kiongozi, ishu ni lazima kulia uwe juu tu

  Si unajua kuna mambo hayaangalii kama wewe ni mashoto au malia, kama mtu ni mashoto hivi akienda kuji help huwa anatumia mkono gani kujiswafi?
   
 17. driller

  driller JF-Expert Member

  #17
  Dec 3, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135


  mambo yetu yalee kwani wewe ni mgeni hapa bongo....?
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 13,597
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  hahahahaaaaa....hahaaaa....!! wale wafaransa wanauita national toch. Mia
   
 19. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,044
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hoi hoi na furaha, shangwe na vigelegele, nchi yetu ya amani na raha.
  Kuuwasha mwenge, kumulika mlima kilimanjaro, ......."Nimesahau kumalizia ubeti :A S tongue:"
  Dah halaiki hiyooo..
   
 20. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,057
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 180
  Hujaona mwenge wa olimpiki?!, hapa kwetu ulikimbizwa na celebs- Mengi,Judith Wambura na kaseja.
   
Loading...