Picha za kwanza za shimo jeusi angani zatolewa

Picha za kwanza za shimo jeusi angani zatolewa

Albert Eistein alikuwa na akili sana, alishazungumzia hii kitu miaka mingi iliyopita.
Kwel nimeamin kizaz kilichopita kilikuwa kizaz cha Magenius waliopitiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafanikio huja kwa kupenda unachofanya,si wingi wa akili uliomfanya Einstein afike pale bali ni interest aliyokuwa nayo na kazi yake, jamaa alifanya research kwa miaka 10 wala kizazi cha zamani hakijazidi kizazi cha sasa kwa akili,hata Messi ni Genius kwenye mpira na samaki siku zote huwezi kumlazimisha apande mti.
 
Shimo jeusi
Haki miliki ya pichaEHT COLLABORATIONImage caption

Picha ya kwanza ya shimo jeusi . limezungukwa na gesi inayovutwa ndani na shimo hilo
Wanaanga wamefanikiwa kuchukua picha za kwanza kuhusu shimo jeusi ambalo linapatikana katika sayari ilio mbali.

Shimo hilo lina ukubwa wa kilomita bilioni 40 kwa upana ikiwa ni mara milioni 3 zaidi ya dunia na limetajwa na wanasayansi kuwa 'dubwana'.

Shimo hilo jeusi lipo umbali wa kilomita milioni 500 na lilipigwa picha na jumla ya darubini nane kote duniani

Maelezo yamechapishwa katika jarida la wananaga la Astrophysical .
Picha za shimo jeusi
Haki miliki ya pichaDR JEAN LORRE/SCIENCE PHOTO LIBRARY

Profesa heino Falcke wa chuo kikuu cha radboud nchini Uholanzi , ambaye alipenedekeza jaribio hilo, alimbia BBC kwamba shimo hilo lilipatikana katika sayari kwa jina M87.

Kile tunachokiuna ni kikubwa zaidi ya mfumo wote wa jua, alisema.
Jinsi picha hizo zilivyopigwa

Shimo hilpo lina uzito mara bilioni 6.5 zaidi ya Jua. na ni mojwawapo ya mashimo meusi ambayo tunadhani yapo. Ni dubwana kwa kweli, likiwa ndio shimo lenye uzito mkubwa zaidi ya yote ulimwenguni.
shimo linakuwaje zito mbona sielewi ?

ni sawa na kusema hewa hii ni ndefu
 
Sawa unaweza kuwa sahihi kwa upande mmoja, ila najaribu kufikiria ktk mazingira ya karne aliyokuwepo bado jamaa alikuwa mbele ya dunia kwa miaka mingi fikiria mda aliotumia kugundua vitu vingi ktk wakat mgumu wa teknolojia fananisha na wanasayans wasasa kwa wakat huu, Ndo maana Pele atabak kuwa juu uki compare na mess kulingana na kipind pele alichochezea mpira
Vitu vingi vilivyogunduliwa kipind cha sasa ni mwendelezo wa uvumbuz uliofanywa na watu wa kale bado nitabak kuamin kizaz cha kale watu wa wake walikuwa magenius sana.
Mafanikio huja kwa kupenda unachofanya,si wingi wa akili uliomfanya Einstein afike pale bali ni interest aliyokuwa nayo na kazi yake, jamaa alifanya research kwa miaka 10 wala kizazi cha zamani hakijazidi kizazi cha sasa kwa akili,hata Messi ni Genius kwenye mpira na samaki siku zote huwezi kumlazimisha apande mti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom