Picha za kwanza za shimo jeusi angani zatolewa

Picha za kwanza za shimo jeusi angani zatolewa

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,741
Reaction score
7,537
Picha za kwanza za shimo jeusi angani zatolewa

Source: https://www.bbc.com/swahili/habari-47881222

Wanaanga wamefanikiwa kuchukua picha za kwanza kuhusu shimo jeusi ambalo linapatikana katika sayari ilio mbali.

Shimo hilo lina ukubwa wa kilomita bilioni 40 kwa upana ikiwa ni mara milioni 3 zaidi ya dunia na limetajwa na wanasayansi kuwa 'dubwana'.

Shimo hilo jeusi lipo umbali wa kilomita milioni 500 na lilipigwa picha na jumla ya darubini nane kote duniani.

Maelezo yamechapishwa katika jarida la wananaga la Astrophysical .
Haki miliki ya picha DR JEAN LORRE/SCIENCE PHOTO LIBRARY

Profesa heino Falcke wa chuo kikuu cha radboud nchini Uholanzi , ambaye alipenedekeza jaribio hilo, alimbia BBC kwamba shimo hilo lilipatikana katika sayari kwa jina M87.

Kile tunachokiuna ni kikubwa zaidi ya mfumo wote wa jua, alisema.

Shimo hilpo lina uzito mara bilioni 6.5 zaidi ya Jua. na ni mojwawapo ya mashimo meusi ambayo tunadhani yapo. Ni dubwana kwa kweli, likiwa ndio shimo lenye uzito mkubwa zaidi ya yote ulimwenguni.
 
Hivi "shimo" limakuwaje na uzito??
Kwa kutajwa na muonekano ni kama shimo, lakini kimsingi sio shimo. Ni mkusanyiko wa mass (gases etc) na mwanga mkali unaotoka kama wa jua kuzunguka hyo mass. Sasa ule weusi wa katikati na mng'aro wa mwanga kulizunguka ndo unafanya dubwana hilo liwe kama ni tobo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapana,kama mkusanyiko unatoa mwanga mkali,huo weusi unaoeusema unatokea wapi?,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapana,kama mkusanyiko unatoa mwanga mkali,huo weusi unaoeusema unatokea wapi?,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanga umezunguka huo weusi kama andazi aina ya donasi linavyokuwa. Tazama picha yenyewe hapo chini
Screenshot_20190411-121402_Instagram.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kutajwa na muonekano ni kama shimo, lakini kimsingi sio shimo. Ni mkusanyiko wa mass (gases etc) na mwanga mkali unaotoka kama wa jua kuzunguka hyo mass. Sasa ule weusi wa katikati na mng'aro wa mwanga kulizunguka ndo unafanya dubwana hilo liwe kama ni tobo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ninaweza kupenya au kupenyeza ndani ya black hole???
 
... Neno la Uzima linazidi kudhihirika usahihi na uthabiti wake! Hiyo ndio Jehanamu yaani ziwa lile liwakalo moto ambalo Bwana Yesu amelizungumzia sana katika mahubiri yake.
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Kwahiyo Bwana yesu alizungumzia hata mambo yasiyokuwepo duniani ❕❕❔❓Gehenna (/ɡɪˈhɛnə/, /ɡəˈhɛnə/[3]), the

Aramaic name of the Valley of Hinnom,[1] or Gehinnom, is the corresponding geographical term modified in the process of translation of the Hebrew Bible, which has received various fundamental theological connotations.

In the Hebrew Bible, Gehenna was initially where some of the kings of Judah sacrificed their children by fire.[4] Thereafter, it was deemed to be cursed (Book of Jeremiah 7:31, 19:2–6).[5]

In rabbinic literature, Gehenna is also a destination of the wicked.[6] Gehinnom is different from the more neutral Sheol/Hades, the abode of the dead, although the King James Version of the Bible misleadingly translates both with the Anglo-Saxon word hell.
 
Ukiingia hutokimo! Just imagine hata nyota ikiingia haitoki! Not only nyota wanasema even light can't escape the gravity of black hole!.
Mashihoro mageni 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom