game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,402
- 23,326
- Thread starter
- #21
Hahaha, yaani kuwa na common understanding sio jambo rahisi, ni ngumu kuelewa inakuwaje dunia ya leo mtu anakubali kucharazwa fimbo na mwanadamu mwenzie, hata leo percent kubwa ya watu bado hawajajitambua,Kuna kitu huwa kinanipa shida,iliwezekana vp unakuta waafrika 100,wamewekwa chini ya ulinzi na mzungu mmoja!kwanini hawakuwashambulia hao wazungu na kuwaua,lakini nikakumbuka Mkuu wa wilaya,alivyowachapa bakora wanaume watu wazima,Tena wenye ndevu zao,wanaamlishwa lala,na wao wanalala,hii hofu hutoka wapi?