Tatizo ni nini hapa, siasa zetu au umasikini, au ni kutojitambuaZamani watumwa walichukuliwa kwa nguvu ila siku hizi wanajipeleka wao wenyewe tena kwa kuhatarisha maisha yao kwa kutumia njia za usafiri ambazo ni hatari sana na hasa usafiri wa baharini,
Wengi wamepoteza maisha yao Baharini wakiwa njiani kujipeleka utumwani.
Yote hayo uliyoyataja ni miongoni mwa tatizo.Tatizo ni nini hapa, siasa zetu au umasikini, au ni kutojitambua
Sababu zote 3 zinaingia,,,Siasa mbovu unajua waafrika na jamii nyingine kama zetu zimetoka kwenye mifumo ya kifalme,Kitemi,ki chief.Linapokuja suala la Demokrasia ya kumagharibi inawachanganya kidogo viongozi,Ndo mana unaona wengine wanakataa kutoka madarakani,wanatolewa kima bavu n.k,kwa hiyo moja kwa moja tumezoe kurithishana vyeo kwa maslahi ya wachache waliokaribu na duara,hii inapelekea moja kwa moja walio wengi kukosa keki ya taifa na kusababisha UMASIKINI.Umasikini unawafanya watu kutafuta njia mbadala za kupiga vita umaskini.Ndani ya nchi zao mifumo ya kutoboa kimaisha imebanwa kidogo hivyo kupelekea waliowengi kujitoa kafara Do or Die ili tu wapige vita umasikini.Tatizo ni nini hapa, siasa zetu au umasikini, au ni kutojitambua
Mkuu, hizo picha umeziangalia vizuri??Hakuna kilichobadilika... Utumwa upo pale pale tofauti Ni kuwa Huu wa Sasa Ni wa Kifikra zaidi na mateso yake Ni makali zaidi...
NoNikwambie mimi yuko wapi?