Picha za kusikitisha wakati wa Biashara ya Utumwa

Biashara ya utumwa muwalaumu waarabu wa Oman amboa Leo tunawaita ndugu zetu . Lakini mwisho WA siku wale watumwa walipofika uarabuni walihathiwa ili wasipate watoto kule
Usiandike kitu usichokijua ili tu kuifariji nafsi yako,nyie ndio hua mnakaririshwa jambo nanyi mmegeuka kua kama sponge mnanyonya kila kimiminika,huko Oman kuNa black kibao na kuna mji mmoja unaitwa SUR huko ni black tu,team ya taifa ya Soka ya Oman wamejaa black kibao,tumia simu yako vizuri ili utoke usingizini.
 
Kuna kitu huwa kinanipa shida,iliwezekana vp unakuta waafrika 100,wamewekwa chini ya ulinzi na mzungu mmoja!kwanini hawakuwashambulia hao wazungu na kuwaua,lakini nikakumbuka Mkuu wa wilaya,alivyowachapa bakora wanaume watu wazima,Tena wenye ndevu zao,wanaamlishwa lala,na wao wanalala,hii hofu hutoka wapi?
Wazee wetu walikuwa WAJINGA na VILAZA
 
Mababu na mabau wa hao wanaojiita wazungu weusi huko Ulaya. Kuna wenye family tree bado iko huku Africa lakini hawatawahi kujuana hata siku moja. Lakini ndugu moja tu hao.
✌️
 
Back
Top Bottom