Picha za kampeni jana Kijiji cha Kitefu.

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,171
3,346
Wakuu kuandikia mate si jadi ya wanaJF makini. Hebu jionee baadhi ya picha katika kijiji cha Kitefu ambacho kipo mbali kidogo na mji wa Maji ya Chai lakini watu walijitokeza kwa wingi kulingana na ukubwa mji huo.

Pamoja na jua kali la kuanzia saa saba na tisa lakini akina mama, wazee hawakisita kuhudhuria mkutano huo na kuonyesha dhahiri ni wadau wa CDM, tujage mwanawane;
DSC00104.JPG

Moja ya bango ambalo linawakilisha machungu ya Wameru kijiji hapa ni hili "Arumeru Mashariki siyo mgodi mmiliki afe amilikshwe mwanae!!!"

DSC00135.JPG

Nani kasema CDM hakuna wazee bali ni vijana watupu? Jibu la swali lako ni huyo mzee aliyekubali kuchomwa na jua kali ili kusikiliza sera za ukombozi la jimbo lake Arumeru.

DSC00138.JPG

Akina mama nao hawakuwa nyuma. Habari ndiyo hiyo.

DSC00122.JPG

Kijana mmoja aliyefahamika kama Peter ambaye ni mjumbe wa kata katika vikao vya Wilaya na Mkoa akijiunga na CDM. Hapo jukwaani akikabidhi kadi Joshua Nassari.

DSC00103.JPG

Baadhi ya watu wakifuatilia kwa makini mkutano huo

Nawakilisha.
 
Inatia Moyo unapoona akina mama wameanza kuiona saa ya ukombozi ahsante kwa picha tunapata funzo

Ni mahasisho wanayopewa toka kwa watu wenye uchungu, hebu cheki maneno kama haya kweli kwa mtu mwenye akili ni lazima afunguke tu "
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kagera, Konjesta Rwamlaza, aliwaomba akina mama kukataa kutumiwa na CCM kwa kuwakejeli kuwahonga khanga na vilemba ili wawapatie madaraka, kisha kuwakimbia na kuwacheka kwa ujinga wao."

Mkuu,
Uko juu sana na unatisha.
Aksante sana kwa hii visual aid!....unaaminika!
Nimefurahia hilo Bango linalosema ARUMERU MASHARIKI SI MGODI...MMILIKI AKIFA ANAMRITHISHA MWANAE!

Hilo ni dongo kwa anayetarajiwa kufutwa machozi.
 
Mbona idadi ya watu ni kidogo sana, au mkutano ulikuwa haujaanza..Naona wanafunzi tu hapo.
 
Tatizo saa ya kupiga kura kila mtu anaingia kwenye chumba peke yake na anajua anayempigie yeye peke yake. msiwehuke na kujaza mikutano.
 
wakuu kuandikia mate si jadi ya wanajf makini. Hebu jionee baadhi ya picha katika kijiji cha kitefu ambacho kipo mbali kidogo na mji wa maji ya chai lakini watu walijitokeza kwa wingi kulingana na ukubwa mji huo.

Pamoja na jua kali la kuanzia saa saba na tisa lakini akina mama, wazee hawakisita kuhudhuria mkutano huo na kuonyesha dhahiri ni wadau wa cdm, tujage mwanawane;
View attachment 50426

moja ya bango ambalo linawakilisha machungu ya wameru kijiji hapa ni hili "arumeru mashariki siyo mgodi mmiliki afe amilikshwe mwanae!!!"

View attachment 50427

nani kasema cdm hakuna wazee bali ni vijana watupu? Jibu la swali lako ni huyo mzee aliyekubali kuchomwa na jua kali ili kusikiliza sera za ukombozi la jimbo lake arumeru.

View attachment 50430

akina mama nao hawakuwa nyuma. Habari ndiyo hiyo.

View attachment 50431

kijana mmoja aliyefahamika kama peter ambaye ni mjumbe wa kata katika vikao vya wilaya na mkoa akijiunga na cdm. Hapo jukwaani akikabidhi kadi joshua nassari.

View attachment 50433

baadhi ya watu wakifuatilia kwa makini mkutano huo

nawakilisha.

mbona watu kiduchu namna hii? Au ndo maana itv wanaonesha picha za mgombea huku kwa wananchi wakikwepa?
 
Wakuu kuandikia mate si jadi ya wanaJF makini. Hebu jionee baadhi ya picha katika kijiji cha Kitefu ambacho kipo mbali kidogo na mji wa Maji ya Chai lakini watu walijitokeza kwa wingi kulingana na ukubwa mji huo.

Pamoja na jua kali la kuanzia saa saba na tisa lakini akina mama, wazee hawakisita kuhudhuria mkutano huo na kuonyesha dhahiri ni wadau wa CDM, tujage mwanawane;
View attachment 50426

Moja ya bango ambalo linawakilisha machungu ya Wameru kijiji hapa ni hili "Arumeru Mashariki siyo mgodi mmiliki afe amilikshwe mwanae!!!"

View attachment 50427

Nani kasema CDM hakuna wazee bali ni vijana watupu? Jibu la swali lako ni huyo mzee aliyekubali kuchomwa na jua kali ili kusikiliza sera za ukombozi la jimbo lake Arumeru.

View attachment 50430

Akina mama nao hawakuwa nyuma. Habari ndiyo hiyo.

View attachment 50431

Kijana mmoja aliyefahamika kama Peter ambaye ni mjumbe wa kata katika vikao vya Wilaya na Mkoa akijiunga na CDM. Hapo jukwaani akikabidhi kadi Joshua Nassari.

View attachment 50433

Baadhi ya watu wakifuatilia kwa makini mkutano huo

Nawakilisha.
Ahasante kwa picha Mkuu huo ndio ukweli wenyewe, kwani Arumeru ni mgodi??????????

DSC00095.JPG

Hapo ni kijiji wakuu mlitaka nyomi itoke wapi wakati idadi ya watu siyo kubwa kihivyo? Kwa idadi hiyo nawahikikishieni jamaa walikuwa wamejitahidi sana. Pia karibu na mkutano huo kuna shule ndiyo maana mnaona kuna wanafunzi waliohudhuria mara baada ya kutoka madarasani.
 
Asante sana mkuu, hii inatia faraja. Ukombozi unakaribia Arumeru. Peoplessssssssssssssssssssss
 
Elimu ya uraia sasa imetamalaki; ni furaha iliyoje kuona wabibi nao somo limepanda.
 
je wanashahada za kupigia kura, maana km hwana huo uhudhuriaji si mali kitu, na je ccm hawajawashawishi kwa hela watoe shahaa zao, saa ya ukombozi wao ni sasa, km wanalitambua hilo watamchagua Nassari.
 
Back
Top Bottom