Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
AiseeeKijana Aliye Fanana na Marehemu mwanamuzi Ngwea Akiwa katika ofisi za Clouds Fm...
mnaonaje wana JF mi ni kama namuona mangwea
NakaziaAlikuwa wapi wakatu quick racar anatafuta mtu wa kushut naye kwenye wimbo wa my baby!!ila hajachelewa fulsa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
ctrl+c ctrl+v
Inabidi afundishweNa kuimba anaweza kama Ngwea au
Mweupe usoni?wanafananapo
Kuna software unachukua sauti ya Ngwea unaipaste na sauti ya huyu jamaa output inakuwa sauti ya Ngwea 100%.so ata live watu watakuwa wanasikia real ngwea voice
Kijana Aliye Fanana na Marehemu mwanamuzi Ngwea Akiwa katika ofisi za Clouds Fm...
mnaonaje wana JF mi ni kama namuona mangwea
Sijui wabongo wanafeli wapi.Kuna software unachukua sauti ya Ngwea unaipaste na sauti ya huyu jamaa output inakuwa sauti ya Ngwea 100%.so ata live watu watakuwa wanasikia real ngwea voice
Wampeleke studio akarekod nyimbo alizoacha marehemuHeeeeeh mbna amefanana nae sanaaah, mweeeeh