Unamaanisha chipukizi kama hawa?
Kuna hawa hapa kwenye picha, tisheti zao zimeandikwa umoja wa vijana CCM.
Lakini ukiwaangalia kweli hawa ni vijana au ni watoto?
Or could this be a "Green Guard" in the making?
Blue guard wa CUF hao
Unamaanisha chipukizi kama hawa?
Hii watakanusha na kusema ni waasi wa Congo
Haswa hapo wamekosa tu zile scarfs kama wavaazo Scouts....