Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

CHURADUME

Senior Member
Jul 18, 2016
141
118
Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ni nzuri.

Sasa nimemaliza kupiga picha nikajirushia na kuzifuta nikaenda kwenye recycle bin nikazifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood.

Maana nilikuta picha kama kumi za dada yangu akiwa na jamaa chumbani, wakilana mate ambae sio shemeji yangu ninayemjua duh.

Nimeishiwa na pozi nikaanza kumuwaza alivyo kuwa mstaarabu na kunipa ushauri wa kubaki njia kuu, Kumbe yeye anazagamuliwa nje ya ndoa yake.

Nikamrudishia simu lakini nimebaki namuwaza dada yangu anavyo msaliti shemeji yangu yaani roho inaniuma kama nasalitiwa mimi.

Ushauri wenu ninawaza nimwabie au nikae kimya sina hata jibu.
 
Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembbelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ninzuri.

Sasa nimemaliza kupiga picha nika jirushia na kuzifuta nika enda kwenye recycle bin nikzifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood.
Maana nilikuta picja kama kumi za dada yangu akiwa na jamaa chumbani, wakilana mate ambae sio shemeji yangu ninae mjua duh,

Nimeishiwa na pozi nikaanza kumuwaza alivyo kuwa mstaarabu na kunipa ushauri wa kubaki njia kuu, Kumbe yeye ana zagamuliwa nje ya ndoa yake.

Nikamrudishia simu lakini nimebaki namuwaza dada yangu anavyo msaliti shemeji yangu yaani roho inaniuma kama nasalitiwa mimi,

Ushauri wenu ninawaza nimwabie au nikae kimya sina hata jibu.
Mkanye dada mkemee kabisa
 
Weka picha
 
kama unataka uwe chanzo cha kero kwa wazazi wako mwambie shemeji yako, ningekuwa mm ningemwita sister nampeleka sehemu tulivu tunapata juice then nampa makavu na mwisho namwambia uamuzi ni wake kuacha au kuendelea ila akija kufumwa na kuvurumishwa na mumewe nisimwone karudi kwa wazazi aende kwa mchepuko.

ephen_ una kaka weye?
 
Dah wanaume tunapunguwa skuizi wewe kuliwa aliwe dada ako afu kuumia uumie wewe
dada ake akiachika. aishi kwako au? uo mzigo abebe nani?? its fun and games ila omba isitokee kwenye familia yako.
kwa ground kugumu sana. hata ukiwa na pesa. single parent wana challenges money can't solve na wengi hiv positive for a reason. ajichanganye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom