Picha yangu ya leo hii

Picha yangu ya leo hii

editorial-barrons-aug30-2013.jpg
 
Jakaya-Kikwete-Agust30.jpg

Rais Jakaya Kikwete akipokelewa na Meya wa jiji la Salzburg nchini Australia, Wilfred Haslauer, alipowasili wa Uwanja wa Ndege wa Salsburg jana kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa masuala ya utandawazi wa Haki na Usawa.PICHA:IKULU.
 
Polisi%20Jamii.jpg

Polisi Jamii na wakazi wa Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam, wakiupakia kwenye gari la polisi, mwili wa mwanamke Yusta Mkali jana. Mwanamke huyo alikutwa amekufa katika chumba walimokuwa wakiishi na mwanamume mmoja ambaye sasa hajulikani aliko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom