hii inawezekana ikawa kweli maanake Wapemba kwa kubeba mizigo safarini wanaongoza.Nimesafiri nao sana kwenye meli maarufu wakati huo kama MV SERENGETI,utakuta mama anasafiri na watoto wadogo wanne,mikungu ya ndizi n.k. na huku wamepakata kuku japo wawili sehemu za kukaa abiria,yaani hapo ni kelele za watoto kuku na injini ya meli iliyochoka kwa kutembea mwendo wa konokono, kutoka Pemba to Unguja zaidi ya masaa nane wamati speed boat zilikuwa zinatumia masaa mawili.......kuwa na wapemba safarini hasa kutoka kwao yahitaji moyo...
Finance Minister, Dr William Mgimwa (L), thanks European Union Ambassador to Tanzania, Filberto Sebregondi shortly after receiving a 101bn/- cheque to support the 2013/2014 government general budget to meet its Millenium Development Goals (MDGs) in Dar es Salaam yesterday. (Photo: Khalfan Said)
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi (kulia kwa Rais) na viongozi wa vyama vya siasa, Ikulu, jijini Dar es Salaam jana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.