Makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), `uzalendo` uliwashinda na kushuka kutoka kwenye magari ya chama hicho na kuamua kujiunga kucheza mziki wa `peoples power`, kwenye mkutano wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), eneo la Pagali, Uzini Zanzibar, katika kampeni za uchaguzi mdogo jana.
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam, wakiangalia kadi za chama hicho zilizorudishwa na wanachama eneo la Mbagala Zakhem wilayani humo jana.(PICHA: MOSHI LUSONZO)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.