Picha yangu ya leo hii

Picha yangu ya leo hii

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
attachment.php






ipe maelezo yake unaionanje?
 

Attachments

  • KATUNI(580).jpg
    KATUNI(580).jpg
    31.9 KB · Views: 64,584
huu ni ufisadi wa hali ya juu sana ambapo jitu linasema linaipenda tz halafu linaichukia kwa uroho wa pesa..! na serikali badala ya kufanya kitu inaona na kusema tu... ona ..ona.. ona kama vile lodi lofa kwenye mechi ya bon town na bushi star anamwambia kipa angalia hiyo goli linaingia..! wanafungwa kweli halafu baadae kipa anamwambia lodi lofa hukuniambia nidake uliniambia niangalie na mimi nikaangalia jinsi mpira ulivyokua unaingia na kwa bahati mbaya tukafungwa ndo hivyoooooo tulivyo na magamba yetu...!
 
CCM na serikali yake wanatubedua bedua wananchi wanavyotaka wao...............ipo siku, lazima na mii nitatafuta nafasi ya kumuingiza mtu kijiti cha kalio.........hata kama nitakuwa nimesafiri.........nitarudi kwa ajili ya kazi hiyo tu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom