Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Huwezi kuvijua kichwa na mguu hata kama vingekuwa chini ya pua yako.
Well done, Great Sinker...
Huwezi kuvijua kichwa na mguu hata kama vingekuwa chini ya pua yako.
Well done, Great Sinker...
Jamaa anakwambia ana stamina ya ubishi, nikaona isiwe tabu.
Hapo issue sio stamina wala ubishi.
Naungana na Kiranga kabisa, hii tabia ya kujibu usichoulizwa ndio huwa inapelekea mambo mengi kukwama ikiwemo kesi za wazi kabisa mtuhumiwa anashinda kutokana na mbwembwe zenu za kukurupuka na majibu ya ziada na kuacha swali la msingi.
Hapa hujaulizwa huyo ni nani na mnafahamina vipi, jibu linalotakiwa hapa kutokana na swali ni NDIO au HAPANA ili mengine yafuate, tuweke kumbukumbu vizuri kwenye hansad na kupata formulation nzuri ili tusigombane na mihimili mingine.
ki ukweli hii tabia ipo sana jf kujibu usichoulizwa
JANA NILIMTUKANA MTU KABISAA KWA MAMBO HAYA HAYA
Kumbe mlimbwende wa Kimaasai nawe huwa watukana...:bolt:
Bishop Hiluka huyo brother mchukulie poa tu,akiishiwa hoja anakimbilia kuchomekea kizungu kwa kutumia synonyms ili aonekane juaji zaidi ya wengine.kiboko yake Dr. kahtaan.subiri aje.
Heri uliamua kumpuuza. Yaani anatumia nguvu nyingi kukwepa kukiri kosa. Tumuache tu.
Ova
Ndo tatizo la Waswahili, hata ukiongea kizungu bado utaendelea kuwa mswahili tu. Mtu kang'ang'ana na jambo moja tu utadhani analipwa! Niliona isiwe shida nikamshit aongee akichoka atalala...
Pole sana. Kumbe umegeuka mahakama siku hizi? Au ili mradi tu na wewe uonekane umeongea...
Nimekupuuza.
Ova
Bishop Hiluka huyo brother mchukulie poa tu,akiishiwa hoja anakimbilia kuchomekea kizungu kwa kutumia synonyms ili aonekane juaji zaidi ya wengine.kiboko yake Dr. kahtaan.subiri aje.
Nimekupuuza.
Ova
Well said, Dr kahtaan, we need to feel sorry for her!
I always says.
The difference between a puppy and a fool is this--the one is born blind and continues so for nine days only, while the other remains with his eyes shut all his life.
You need to feel sorry for miss Kiranga.
mkuu kuwa makini hapo kwenye RED,akiona atakwambia umekosea.si unajua jamaa ni bingwa wa kizungu kuliko member wote wa JF.:becky:
Kaa pembeni dogo, tunataka ajibu swali aliloulizwa.Hivi nyinyi mnajitambua kweli? Ni nani form four failure hapa kati yenu na mnayemshupalia awajibu swali lisilo na kichwa wala miguu? Kama hana iddhini nyie inawahusu nini?