wakulichomeka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 517
- 142
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Umeji- Identify mwenyewe from the first sight kwamba ni Katibu wa wasanii wa Filamu, BONGOMOVIES......
Hakuna sehemu niliyokutajia kuwa nina matatizo ya kifamilia....
However bado Content inabaki pale pale, hao uliowaweka Public wako aware na wameadmit ufanye hivyo?
Hakuna sehemu sheria za Jamii Forum zinasema Ukiwa unaongea na Kiranga, basi nisipost.
Naungana na Kiranga kuwa hukujibu swali, ila hutaki kukiri kwamba hukujibu swali, kwa hiyo mpaka hapo wewe ndiye unayeleta ubishi na sio Kilanga.
Ova
Haya sasa kajibu swali mama.... ulipewa idhini ya kubandika picha ya mwenyekiti wako hapa JF?
Naungana na Kiranga kuwa hukujibu swali, ila hutaki kukiri kwamba hukujibu swali, kwa hiyo mpaka hapo wewe ndiye unayeleta ubishi na sio Kilanga.
Ova
Kupewa idhini na nani?...
Idhini ya uliyebandika picha yake hapa.
Division five ina umuhimu wake..... ndio kama hivi sasa. Unaulizwa Rais wa Tanzania ni nani unajibu "ametokea mkoa wetu".... na unatumia masaa mawili ya mtihani kutetea jibu lako.
Kujitambulisha kuwa kiongozi wa wasanii si sababu ya kuwaingiza kwenye malumbano yako kwa kukejeli nafasi yangu...
Ni kweli kabisa! Sasa huyu ndio kiongozi wa taasisi na kuna watu wanamtegemea awavushe kwa uwezo wake, lakini kashindwa kujibu swali dogo tu na badala yake kaanza kujieleza asiyoulizwa.
Kazi tunayo na Taifa hili.
Ova
Sawa, Nisamehe kwa hilo Mkuu!
Sasa turudi kwenye swali, ulipata idhini ya kuweka picha zao hao uliowaweka?
By GAUTAMA![]()
Umeji- Identify mwenyewe from the first sight kwamba ni Katibu wa wasanii wa Filamu, BONGOMOVIES......
Hakuna sehemu niliyokutajia kuwa nina matatizo ya kifamilia....
However bado Content inabaki pale pale, hao uliowaweka Public wako aware na wameadmit ufanye hivyo?
Hakuna sehemu sheria za Jamii Forum zinasema Ukiwa unaongea na Kiranga, basi nisipost.
By Mdakuizi![]()
Naungana na Kiranga kuwa hukujibu swali, ila hutaki kukiri kwamba hukujibu swali, kwa hiyo mpaka hapo wewe ndiye unayeleta ubishi na sio Kilanga.
Ova
Kweli kuna tatizo.... Heading inaomba picha ya yanayotokea kwenye sehemu za kupiga kura..., contents ni jinsi ya kujibu au kutokujibu swali, Nadhani hata wale wanaopiga picha watu kwenye public place mfano mashabiki uwanjani ni vigumu sana kuomba idhini yao wote (ukizingatia kama wanachokifanya hakidhalilishi) pia muhusika kama amekerwa nadhani anaweza kuomba picha yake iondolewe..
In this day and age nadhani ni kwa muhusika kuwa makini kwamba anytime anaweza kuwa digitilized...

Jamani na nyie huko kwenu uchaguzi umesogezwa mpaka jmos ijayo? Huku nilipo ni Kinyerezi. Mpaka midaa hii tunapewa taarifa na mgombea mwana Ukawa box zilikuwa hazijafika. Mwenye taarifa nini kinaendelea
Mko nje ya headline.