Picha: Yanayojiri uchaguzi wa serikali za mitaa

Swali umeulizwa wewe.

Ukiiba mtu ambaye mali si yake akipiga kelele "mwiziiii" huwezi kujitetea kwa kusema "haikuhusu, ni wangapi umewapigia kelele za mwizii".

Two wrongs do not make a right, have you ever heard that?

Katika watu niliowaona ni great thinkers wewe ulikuwa mmojawao, lakini kwa kushupalia mambo ya kijinga umeanza kunitia wasiwasi. Kwani kuna tatizo mtu kuweka picha humu? Acheni unafiki. Hebu soma kwanza headline inasemaje, kama huna picha ya kuweka tafuta ustaarabu!
 
Kaazi kwelikweli! Hili ni jukwaa la picha na siwajibiki kumuomba yeyote ruhusa ya kuposti kwa kuwa picha haimdhalilishi yeyote...
 
Kwangu mimi "Great Thinker" ni tusi, naomba uniombe radhi kwa kunifikiri kwa kunitusi muda wote huo.

Ni katika jamii isiyojali faragha ya mtu binafsi tu na kukosa elimu ndipo mtu anaweza kuuliza kama kuna tatizo mtu mmoja kuweka pivha ya mtu mwingine bila idhini ya huyo anayewekwa picha yake.
 
Jana nimeiona picha ya kikwete na rugemanina na hakuna aliehoji idhini ya hao watu. Hivi na shigongo huwa anaomba idhini ya wale wanaofumaniwa? Marehemu wanaobandikwa humu nani katoa idhini?

Kwa mwenye picha na aweke tu. La msingi ni uchaguzi wa leo ktk picha.

Nakuelewa mkuu, hao wana lao jambo. Nikizipata picha nitaendelea kuweka kama hii hapa, wala sijishughulishi kujibu maswali yasiyo na maana...

View attachment 210956
 
Kaazi kwelikweli! Hili ni jukwaa la picha na siwajibiki kumuomba yeyote ruhusa ya kuposti kwa kuwa picha haimdhalilishi yeyote...

Ni jamii isiyoheshimu faragha ya mtu binafsi na kukosa elimu tu ambapo mtu anaweza kuandika hayo uliyoandika.

Siwezi kukulaumu wewe, jamii yako haina any sense of privacy.

Rais katoka kuwekwa mshono sehemu za siri anakuja kuhutubia dunia mpaka mshono ulivyowekwa uvunguni mwa dhakari yake.

Bila hata kupepesa macho.

Sitegemei mtu kama wewe uelewe maana ya faragha binafsi.
 
Jana nimeiona picha ya kikwete na rugemanina na hakuna aliehoji idhini ya hao watu. Hivi na shigongo huwa anaomba idhini ya wale wanaofumaniwa? Marehemu wanaobandikwa humu nani katoa idhini?

Kwa mwenye picha na aweke tu. La msingi ni uchaguzi wa leo ktk picha.

Wewe guluguja unaelewa Kikwete ni public figure na huhitaji idhini ya yeyote katika kuweka picha yake hapa kwa sababu aliomba kura zetu awe alama ya taifa?
 
Kwangu mimi "Great Thinker" ni tusi, naomba uniombe radhi kwa kunifikiri kwa kunitusi muda wote huo.

Ni katika jamii isiyojali faragha ya mtu binafsi tu na kukosa elimu ndipo mtu anaweza kuuliza kama kuna tatizo mtu mmoja kuweka pivha ya mtu mwingine bila idhini ya huyo anayewekwa picha yake.

Ni nani aliyekwambia kuwa hana idhini? Wewe nani anayekupa idhini ya kuhoji yasiyokuhusu? Usiongee usivyokuwa na uhakika navyo!
 
Wewe guluguja unaelewa Kikwete ni public figure na huhitaji idhini ya yeyote katika kuweka picha yake hapa kwa sababu aliomba kura zetu awe alama ya taifa?

Hata huyo aliyewekwa hapo ni public figure
 
Ni nani aliyekwambia kuwa hana idhini? Wewe nani anayekupa idhini ya kuhoji yasiyokuhusu? Usiongee usivyokuwa na uhakika navyo!

Ni nani aliyekuambia ana idhini?

Na kama anayo idhini kwa nini hakusema tangh mwanzo alipoulizwa na kuepuka habari zote za kuulizana mara nane nane?

Utasemaje nahoji yasiyonihusu wakati jambo limeletwa mbele ya macho yangu kwenye public forum?

Chochote kinacholetwa JF kinanihusu, unaelewa maana ya membership?

Kati yangu ninayeuliza kama ana ruhusa au hana na wewe unayetetea bula ya kuwa na uhakika, nani anaingea asivyokuwa na uhakika navyo?

Do you even understand that there is a principle far and above any incident being discussed here?
 
Ni jamii isiyoheshimu faragha ya mtu binafsi na kukosa elimu tu ambapo mtu anaweza kuandika hayo uliyoandika.

Siwezi kukulaumu wewe, jamii yako haina any sense of privacy.

Rais katoka kuwekwa mshono sehemu za siri anakuja kuhutubia dunia mpaka mshono ulivyowekwa uvunguni mwa dhakari yake.

Bila hata kupepesa macho.

Sitegemei mtu kama wewe uelewe maana ya faragha binafsi.

Hmm. Mada ni picha zinazoendelea kwenye vituo vya kura wewe unakuja na masuala ya rais...
 
Of course birdbrained bumpkins would not understand me.

They don't even understand the concept of personal privacy.

Why would they understand me?

Nilitegemea matusi. Hiyo ni dalili ya mtu kutokuwa na hoja za msingi. badala ya kuchangia mada inayoendelea kwenye jukwaa unashupalia kujua kama picha ina idhini!...
 
Ungekuwa na hoja ya msingi wewe ungejibu swali kitambo tu.

Na kutoa an accurate description si tusi.

If you are a birdbrained bumpkin, you are a birdbrained bumpkin, kwako hilo si tusi, ni description tu.
 
Silazimishwi kujibu swali lisilo na kichwa wala miguu...
 
Back
Top Bottom