WISDOM SEEDS
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 841
- 283
Umeona eh! Halafu wanajiita Great Thinkers!
Ni kweli, watu wanaacha mada na kushupalia yasiyohusika. Kaazi kwelikweli...
Wasamehe bure kiongozi. Maana uliyemjibu kakuelewa na aliyeanzisha malumbano pia kaingia mitini!

