Picha: Yanayojiri uchaguzi wa serikali za mitaa

Kwenye kituo kimoja eneo la Mikocheni...

kura.jpg
 
Umepata ruhusa ya kuweka picha za hawa ndugu kwenye public? Sioni sababu ya msingi ya kuwaanika
 
Huyo mwenye koti ni Simon Mwakifwamba, swahiba na kiongozi mwenzangu katika Shirikisho la Filamu Tanzania. Yeye ni Rais na mimi ni Katibu Mkuu. Kuna swali?...
 
Swali uliloulizwa hujajibu, ulichosema hujaulizwa.

Jibu ungeweza kusema ndiyo, nimepata ruhusa. Au hapana, sijapata ruhusa.

Habari zote ulizotoa hazijajibu swali uliloulizwa.

Unaulizwa "Kuna swali" wakati swali uliloilizwa hujalijibu.
 
Hata hivyo, aliyeuliza kaelewa. Kuna swali?...
 
Hmm, una stamina ya ubishi...

Hapo issue sio stamina wala ubishi.

Naungana na Kiranga kabisa, hii tabia ya kujibu usichoulizwa ndio huwa inapelekea mambo mengi kukwama ikiwemo kesi za wazi kabisa mtuhumiwa anashinda kutokana na mbwembwe zenu za kukurupuka na majibu ya ziada na kuacha swali la msingi.

Hapa hujaulizwa huyo ni nani na mnafahamina vipi, jibu linalotakiwa hapa kutokana na swali ni NDIO au HAPANA ili mengine yafuate, tuweke kumbukumbu vizuri kwenye hansad na kupata formulation nzuri ili tusigombane na mihimili mingine.
 
Naheshimu mawazo yako lakini taarifa hii siipokei. Kuna swali?...
 
Hapo issue sio stamina wala ubishi.

Naungana na Kiranga kabisa, hii tabia ya kujibu usichoulizwa ndio huwa inapelekea mambo mengi kukwama ikiwemo kesi za wazi kabisa mtuhumiwa anashinda kutokana na mbwembwe zenu za kukurupuka na majibu ya ziada na kuacha swali la msingi.

Hapa hujaulizwa huyo ni nani na mnafahamina vipi, jibu linalotakiwa hapa kutokana na swali ni NDIO au HAPANA ili mengine yafuate, tuweke kumbukumbu vizuri kwenye hansad na kupata formulation nzuri ili tusigombane na mihimili mingine.

Mkuu wewe unategemea majibu ya maana kutoka kwa viongozi wa wasanii?
amewajibu kiform four failure halafu anajiona much know!
 
Back
Top Bottom