Picha: Yanayojiri uchaguzi wa serikali za mitaa

Picha: Yanayojiri uchaguzi wa serikali za mitaa

hahaha bishop hayo majamaa yana ubishi wa kijinga sana.binafsi nimekuelewa ukizingatia habari husika ipo jukwaa la picha.

likes.jpg
 
hahaha bishop hayo majamaa yana ubishi wa kijinga sana.binafsi nimekuelewa ukizingatia habari husika ipo jukwaa la picha.
Bado sana, swali la msingi limeendelea kuelea bila majibu ya msingi. Jamani tubadilike, hao watu uliowapiga picha wana haki ya kujua kuwa unawapiga picha ili ukawarushe kwenye mitandao. Vipi kama ataishtaki JF au wewe kwa kuweka picha yake bila ridhaa yake?
 
Haiizidi yako ya kulazimisha mtu kaelewa halafu ukiambiwa ueleze kaelewa nini unabisha kwa kuongelea stamina ya ubishi.

In psychology they have a name for saying that other people have bad habits you have.

It is called projection.

Are you talking about mental mechanism? You're very wrong...
 
It just goes to confirm that "wewe una stamina ya ubishi".

Umeniuliza swali, hata sijakujibu uelewe ninaongelea nini ushanihukumu kwamba nimekosea.

Kati yangu na wewe nani ana stamina ya ubishi?

I have been a Psychiatrist and I know about mental (defensive) mechanism. Hapa unataka kuingiza kitu kisichohusiana...
 
Nani kakwambia ndiyo hiyo?

Projection ni moja ya aina za mental mechanism katika psychiatry, ulipotaja masuala ya psychology nikajua kabisa unamaanisha hivyo. Lakini kama hukumaanisha hivyo tusameheane mkuu. Mimi sina ubishi wa kijinga...
 
Ya nyumbani kwangu hayakuhusu sijayaleta Jamii Forum, linanihusu hili ulilolileta Jamii Forum...

Mambo ya wasanii yanahusiana nini na Jukwaa la Picha? After all, umeingilia jambo kwa kejeli na matusi wakati nilikuwa naongea na Kiranga...
 
Hapo issue sio stamina wala ubishi.

Naungana na Kiranga kabisa, hii tabia ya kujibu usichoulizwa ndio huwa inapelekea mambo mengi kukwama ikiwemo kesi za wazi kabisa mtuhumiwa anashinda kutokana na mbwembwe zenu za kukurupuka na majibu ya ziada na kuacha swali la msingi.

Hapa hujaulizwa huyo ni nani na mnafahamina vipi, jibu linalotakiwa hapa kutokana na swali ni NDIO au HAPANA ili mengine yafuate, tuweke kumbukumbu vizuri kwenye hansad na kupata formulation nzuri ili tusigombane na mihimili mingine.

ki ukweli hii tabia ipo sana jf kujibu usichoulizwa
JANA NILIMTUKANA MTU KABISAA KWA MAMBO HAYA HAYA
 
Mambo ya wasanii yanahusiana nini na Jukwaa la Picha? After all, umeingilia jambo kwa kejeli na matusi wakati nilikuwa naongea na Kiranga...

Umeji- Identify mwenyewe from the first sight kwamba ni Katibu wa wasanii wa Filamu, BONGOMOVIES......
Hakuna sehemu niliyokutajia kuwa nina matatizo ya kifamilia....
However bado Content inabaki pale pale, hao uliowaweka Public wako aware na wameadmit ufanye hivyo?

Hakuna sehemu sheria za Jamii Forum zinasema Ukiwa unaongea na Kiranga, basi nisipost.
 
Last edited by a moderator:
Projection ni moja ya aina za mental mechanism katika psychiatry, ulipotaja masuala ya psychology nikajua kabisa unamaanisha hivyo. Lakini kama hukumaanisha hivyo tusameheane mkuu. Mimi sina ubishi wa kijinga...

Haya sasa kajibu swali mama.... ulipewa idhini ya kubandika picha ya mwenyekiti wako hapa JF?
 
ki ukweli hii tabia ipo sana jf kujibu usichoulizwa
JANA NILIMTUKANA MTU KABISAA KWA MAMBO HAYA HAYA

Hata wewe?!... Ni BUSARA kuhimili hasira zako ili watu wasione UDHAIFU ulionao pindi UUDHIKAPO, maana HASIRA humfanya mtu mwenye hadhi kuongea maneno ya OVYO na kuiharibu HESHIMA aliyoihangaikia kwa miaka mingi...
 
Back
Top Bottom