Picha ya Zari Bosslady

Picha ya Zari Bosslady

81cffa46f59675583c41db7fb1a989ad.jpg

Nampenda huyu Dada. Ni mzuri,Japo anaumri mkubwa, ila anajua kuutunza mwili wake vyema
ALIYEKWAMBIA ANA UMRI MKUBWA NI NANI ? AGE AIN'T NOTHING BUANA. ASEE WANAWAKE WENGINE WAKIKUWA NDO WANAKUWA WAZURI HII AGE YA ZARINA NI SAFI DAI ANAFAIDI HAPA MPAKA MWISHOOO WANAWAKE WA UMRI HUU WAZURI SANA UKIMPATA LAZMA UFAIDI
 
Yaani wewe unataka scene ianzie kwenye kuumwa!

Kuumwa ni baadae sana movie ikikaribia kuisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilitaka tuanzie hapo kwanza. Ndo tuenfelee. Kisha kupanda ndege. Kutongozana nk
 
ALIYEKWAMBIA ANA UMRI MKUBWA NI NANI ? AGE AIN'T NOTHING BUANA. ASEE WANAWAKE WENGINE WAKIKUWA NDO WANAKUWA WAZURI HII AGE YA ZARINA NI SAFI DAI ANAFAIDI HAPA MPAKA MWISHOOO WANAWAKE WA UMRI HUU WAZURI SANA UKIMPATA LAZMA UFAIDI
Eti wengine wanaponda
 
81cffa46f59675583c41db7fb1a989ad.jpg

Nampenda huyu Dada. Ni mzuri,Japo anaumri mkubwa, ila anajua kuutunza mwili wake vyema
Ila jaman mi inafikaga time naumia sana kuna wasichana ni warembo jamaniiiiiii daaaaaah hatariii sana hii duniaa [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Sasa na ukiwa huna hela. Unaishia kuwaita shemeji tu
 
Hapo sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara shemeji umependezaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Back
Top Bottom