Picha ya Zari Bosslady

Picha ya Zari Bosslady

81cffa46f59675583c41db7fb1a989ad.jpg

Nampenda huyu Dada. Ni mzuri,Japo anaumri mkubwa, ila anajua kuutunza mwili wake vyema
Hii picha kapiga lini.au alipotoka hospital
 
Birds of same feathers flock together,.. Ukiona unakua fancy sana na MTU,jua unafana nao in someway au unataka kua kama wao,..nasema Ur more beautiful and more likely,..
 
Niliona ulivyokuwa unakokota kwa kupiga chenga kali nikajua utampasia foward, kuja kuhamaki umepiga krosi ya juu halafu ukakimbia kuipokea mwenyewe na kutaka kufunga.
Ha ha ha ha nshapasia nyavuni nmeambiwa offside lakin dah noma kwel
 
Birds of same feathers flock together,.. Ukiona unakua fancy sana na MTU,jua unafana nao in someway au unataka kua kama wao,..nasema Ur more beautiful and more likely,..
Hivyo vingine sawa
.Lakini sitaki kuwa single mather
 
Back
Top Bottom