Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,537
Nampenda huyu Dada. Ni mzuri,Japo anaumri mkubwa, ila anajua kuutunza mwili wake vyema
Kumbe nini chikira.??mmh! kumbe.
Le usingizi wa [HASHTAG]#diamond[/HASHTAG]le big Madame
Ana mwili mwororoKumbe nini chikira.??
Kweli bana.ukiwa na pesa na ujue kuitumia, isikutumie unapendeza sana!!
HAKUNA MBAYA KWENYE PESA
Sana.Ana mwili mwororo
Wakina nani watawasema. Wakati. Hao single mather wa hivi wamewazidi kipato. thubutuuuHivi single mother wa hvi mbona huwa hawasemwi?
ha ha ha ha ha ha kumbe swala ni mahelaa sio u single dadekiiWakina nani watawasema. Wakati. Hao single mather wa hivi wamewazidi kipato. thubutuuu
Ngoja niwe na hela halafu niwe single mather. Mbona mtanipigania jfha ha ha ha ha ha kumbe swala ni mahelaa sio u single dadekii
Ha ha ha ha kabla hujawa na mahela mie ndio ningekufanya uwe single maza basiNgoja niwe na hela halafu niwe single mather. Mbona mtanipigania jf
Utani bana
Usikae mbali na hapa. Inakuja soonna wewe weka picha yako hapa
Niwe na hela kwanza ndo niwe na single matherHa ha ha ha kabla hujawa na mahela mie ndio ningekufanya uwe single maza basi
utani wako una kweli ndani yakeNgoja niwe na hela halafu niwe single mather. Mbona mtanipigania jf
Utani bana