Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,627
Mumy hata mi mwenyewe sijuagi pakufutia.
Bonny na Raimundo muelekezeni Super women 2 kama mnajua namna ya kufuta. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yaani nilijua tu huwezi kukaa kimya huku kina Bonny na Super women 2 wananinyanyasa.
Kweli nimeamini mtu chake.