Ujana mtamu jamani,sura lainii,wanapendezaa,hata mie nilipokuwa kijana nilikuwa napendeza bana,ila enzi zetu kulikuwa hakuna portble cameras kama ilivyo dunia ya leo kwahiyo picha zangu za ujana ni black and white na chache sana.USHAURI,vijana pigeni picha nyingi kadri muwezavyo, zama hizi huhitaji kwenda studio, simu zetu nyingi za viganjani zina Cameras nzuri sana unaweza kujikusanyia picha kadri uwezavyo,usije ukajutia ujana haurudi.