Baba Jazey
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 508
- 572
Daaah kweli ulinzi shirikishi
nje ya polisi post hapo sister anawekewa dhamanaMaelezo tataView attachment 860173
mwenyewe nalichek hili eneo kama vile soweto kabisa arifu chali angu aiseeeemtu akinyatia hapo hiyo silaha inachukuliwa kiulaini... madem saa zingine hua wanatumwa sio wakushobokea kizembe... halafu hapo ni kama maeneo ya soweto kule chuga