Picha ya siku... Nini kinaendelea hapa?

Picha ya siku... Nini kinaendelea hapa?

Afande anachukua namba. Mtongozo wake ni wa amri amri tu hakuna kubembelezana.
 
Dada wa watu anajiuliza mara mbili mbili si kimnyima no atajiua huyu? Maa hawa watu kwa kijitanguliza mbele za haki kwa vtu vidogo
 
Anatuwakilisha wanaume kwamba, hawa viumbe wanaguvu kuliko silaha ya moto...tehteehh
 
Hapo akili ya afande ilishahama kabisa na kusahau alichobeba begani!

Ila na aliyepiga hii picha ana ujasiri wa hatari
 
Hapo kaulizwa kitambulisho afande kaambiwa chukuwa namba achana na kitambulisho

Haya majitu ndio yanayoingiza kila aina ya watu nchini
Sijui kwanini huwa nawaza mbali
 
Back
Top Bottom