Picha ya siku; Mama Suluhu in Nairobi

Picha ya siku; Mama Suluhu in Nairobi

Ingependeza zaidi JPM ndiye angekuwa hapo pembeni ya kitanda, mara baada ya kutoka kuhudhuria ulaji kiapo wa Kenyatta...
Ana jeuri hiyo? Ulitaka aende ashindwe kustahimili Frustrations zake kibetri kimdondoke bendera ipepee nusu mlingoti kabla hatujalipwa mil 50 wala kufikishwa Tz ya viwanda! Acha Mungu amuweke awaumbue wana ccm
 
Lisu anapotoa Salamu za kushukuru kwa mtu asiyemsaidia lolote anatuma kijembe kwa mwenye akili lakini kwa mpumbavu atajivuna
JPM ipo siku utaanguka nawe utahitaji wa kukutupia jicho la faraja lakini utamkosa! Acha roho ya jeuri baba,Dunia njia
Hajui hilo kuwa ipo siku atatamani watu Wamwendee Ujerumani kumfariji
 
Ni wapi nimehukumu? Kwani ni uongo kua serikali haijishughulishi na ugonjwa wa Lisu? Yaliyompata komwe hata kisogo nae ipo siku yatamtokea,mwambieni ukweli watanzania tumezoea kufarijiana wakati wa dhiki hivyo JM Aache roho mbaya
Tena hiyo roho mbaya siyo ya nchi hii
 
Hongera Mama,
Nauona Uso wako,
unasema hisia zako,
hisia za masikitiko,
kwa aliyotendewa Lisu.

Hongera Mama,
unaonekana kusikitika,
Naangalia Macho yako,
Mama, yalivyojaa huruma,
ni kama vile yanasema,
Hili halikuwa sawa.


Moyo wako, Mama,
Umebeba Mengi,
Kwa uliyoyaona kwa Lissu,
Kama Mamiye Mzazi na Lisu,
Kama watoto wake na Lissu,
Kama Mkewe na Lissu,
Huruma ikakutinga,

Umejisemea kimoyomoyo,
Kwa miezi mitatu sana,
Mhanga huyo asiye na hatia,
amelala kitandani.

Baada ya Masikitiko,
na maumivu,
ya kumuona Lissu,
amelazwa Kitanda.

Huku uchungu,
ukigonga kuta za moyo wako.
Mdomo wako, ukafunguka,
na Kumwambia Lissu,
POLE SANA Mheshimiwa.

PAmoja na hayo Mama,
Hebu fikiria kama,
hayo yangetokea kwa Mwanao,
Mmeo, na
Nduguzo wengine wa hivyo,
Ungejisikiaje.

TUwaonee huruma,
Mke,
Watoto,
Ndugu,
Wazazi na
jamaa za LIssu.

Waanaumia sana Mama,
Wameumia sana,
Na wanaendelea kuumia sana.
Tuwaonee huruma.

Uzazi umekunyong'onyesha,
na kukupotezea furaha.
Ila, huna jinsi,
na wala huna la kufanya.


Hongera Sana Mama yetu Mpendwa.
Kwa utu.
 
Ana jeuri hiyo? Ulitaka aende ashindwe kustahimili Frustrations zake kibetri kimdondoke bendera ipepee nusu mlingoti kabla hatujalipwa mil 50 wala kufikishwa Tz ya viwanda! Acha Mungu amuweke awaumbue wana ccm
Duuu
 
Back
Top Bottom