Picha ya siku; Mama Suluhu in Nairobi

Picha ya siku; Mama Suluhu in Nairobi

Ni wapi nimehukumu? Kwani ni uongo kua serikali haijishughulishi na ugonjwa wa Lisu? Yaliyompata komwe hata kisogo nae ipo siku yatamtokea,mwambieni ukweli watanzania tumezoea kufarijiana wakati wa dhiki hivyo JM Aache roho mbaya
Makuu, inatakiwa uwe mnafiki mwandamizi ili uweze kumpa pole mtu aliye mwamulia kifo kisha akanusurika.
 
Back
Top Bottom