Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,239
Waliotuma wauaji wakamuue sijui wanajisikiaje wanapomwona jamaa anazidi kuimarika....daaa! maisha haya jamaa kalala hapo zaidi ya miezi 3, ila kuwa watu wana furahi kweli.
inapendeza mama kumkumbuka kijana wetu
sentesi tata hii"Msalimie mh rais mwambie nashukuru"
Mwambie akamuulize mugabeKuna habari kwamba, JPM kamuita Mwanasheria Mkuu amshauri akitaka kumtimua Makamu afanyeje?
kwa AG wetu sijui hata kama anajua hicho kifungu...Kuna habari kwamba, JPM kamuita Mwanasheria Mkuu amshauri akitaka kumtimua Makamu afanyeje?
Ulifikiri makamu anafukuzwa kama danga acha ujinga wa kuwa nyumbuuKuna habari kwamba, JPM kamuita Mwanasheria Mkuu amshauri akitaka kumtimua Makamu afanyeje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa sijaiangalia upande wa pilisentesi tata hii
Sio vizuri kuhukumu.Lisu anapotoa Salamu za kushukuru kwa mtu asiyemsaidia lolote anatuma kijembe kwa mwenye akili lakini kwa mpumbavu atajivuna
JPM ipo siku utaanguka nawe utahitaji wa kukutupia jicho la faraja lakini utamkosa! Acha roho ya jeuri baba,Dunia njia
Ni wapi nimehukumu? Kwani ni uongo kua serikali haijishughulishi na ugonjwa wa Lisu? Yaliyompata komwe hata kisogo nae ipo siku yatamtokea,mwambieni ukweli watanzania tumezoea kufarijiana wakati wa dhiki hivyo JM Aache roho mbayaSio vizuri kuhukumu.
Ngoja nikuache tu.Ni wapi nimehukumu? Kwani ni uongo kua serikali haijishughulishi na ugonjwa wa Lisu? Yaliyompata komwe hata kisogo nae ipo siku yatamtokea,mwambieni ukweli watanzania tumezoea kufarijiana wakati wa dhiki hivyo JM Aache roho mbaya
Itakua bora zaidi ila punguza unafikiNgoja nikuache tu.
I wont stoop down to your level.Itakua bora zaidi ila punguza unafiki