Picha ya siku: Kwani imekuwaje tena?

Picha ya siku: Kwani imekuwaje tena?

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,924
Reaction score
95,763
Umejifunza nini kutokana na picha hizi?

oZ5cq.jpg

6Jt3-1.jpg
Eu2.jpg
XcAI.jpg
BCEs.jpg
10e10.jpg
2021040155804.jpg
ea5-1.jpg
E6AydHOXIAINgXC.jpg
QRg6Q.jpg
oONrX.jpg
9876577.jpg
 
Yes picha ya siku! bravo

Mataahira wa tanzania eti ni wasomi! Njaa zinawapotezea akili...
 
FUTUHIIII ndio hii ndio FUTUHI!

Wajameni nawasalimu kwa jamhuri ya muungano wa Tanzagiza
Na huyo hapo munayemuwona ndio waziri wa Niniiiii..
Afiya ama kweli watu wanafurahisha wumati yaani huyo bibi amepiga revasi ya kunyumenyume yaani ndio kusema U turn ya karine!

(In brother K voices)

Kyeeekyeeekwiiiiikwiiiii mbavu zangu!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hatuna Mfano Duniani, Unafki Wetu Upo Genetically Made Up. Kwa kweli tutadai kutambuliwa na CDC.
 
Enzi za uhai wa Magufuli maigizo kama haya huwezi kuyaona
 
Back
Top Bottom