kwa sasa ni mvurugano, washaanza kutifuana. kipigo cha serikali za mitaa kinawasumbua, bado wanawaza urais. kila mtu anafanya yake!Kila wanachojaribu kufanya ccm wanazidi kuharibu mbaya zaidi ziara za kinana mikoani haziwafurahishi baadhi ya watendaji na wakubwa ndani ya chama, ni kheri kinana asitishe ziara hizi na akiandalie chama chake safe exit mwishoni mwa mwaka huu
kuna kiziwi anayesikiaga serikali ya ccm imejaa viziwi na vipofu wa akiliDemocracy at its best.
At least hao wanajuwa nani wakumpelekea kero zao na wanajuwa watasikilizwa. Kudos vijana wa Zanzibar.
![]()
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM Kijiji cha Miwani kilichopo Jimbo la Uzini visiwani Zanzibar, wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe wenye kero zao wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana juzi. (Picha na Rahma Suleiman)

Wakisamaliza hapo, wnapewa ubwabwa biashara inaishia hapo....![]()
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM Kijiji cha Miwani kilichopo Jimbo la Uzini visiwani Zanzibar, wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe wenye kero zao wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana juzi. (Picha na Rahma Suleiman)
huna haja ya kubeba bango hadi muda huu
_kama tumewapa ridhaa miaka 53 na bado uwabebee bango unategemea kuna mabadiliko hata uwape miaka 100??
~uamuzi ni wako ubebe mabango au uchukue hatua sasa
~hadi mahakama ya kadhi wamedanganya!
cc
FaizaFoxy
Democracy at its best.
At least hao wanajuwa nani wakumpelekea kero zao na wanajuwa watasikilizwa. Kudos vijana wa Zanzibar.
Tuone kama kweli Kinana atawajibika. Viongozi wa CCM wote ni wababaishaji.