Picha ya roho ikiwa ina uacha mwili

Picha ya roho ikiwa ina uacha mwili

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,304

Attachments

  • roho.jpg
    roho.jpg
    16.7 KB · Views: 2,202
mbona hakuidaka wazungu samtaim kama nyama ya govi isiyo na faida
 
Yaani hii mijamaa inataka ijidai inajua kila kitu. Hivi roho huwa inaonekana kweli???
 
Tusubili nae akiitwa na mwenyezi mungu kama ataizuia si ameisha ona inavyotoka haya majamaa wakati wingine tabu tu
 
MUNGU WETU ATUPATIE KIFO CHEMA! tufe mikononi mwake, thats all i can say! itikieni AMEN!!

Kila nikiona Avatar yako;
Miye Bazazi! Hoi
Hujambo lakini cacico.

Bazazi
 
Last edited by a moderator:
Ili kutuakikishia kuwa kinachoonekana ni spirit lazima atupatie kwanza attributes of a human spirit. Je, amejaribu na kwa wadudu au wanyama wengine na ameona tofauti gani au hakuna tofauti?
 
Back
Top Bottom